Mara baada ya kuona rafiki yake akiwa na furaha kwa ajili yake, tabasamu gumu lilijitokeza kwenye uso wa Regina. Kwa wakati mmoja aliishia kumwangalia Hamza kwa macho yasiyoelezeka, na aligundua pia Hamza alimwangalia vilevile.
Wawili hao ni kama walikuwa na mawazo yanayofanana na kutamani kuongea kitu, lakini hawakujua pa kuanzia.
“Nadhani baadhi ya wazee wa Kihinde wanajua uwepo wako muda mrefu tu. Isitoshe, wapo wazee …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments