MIMI NA MIMI 4
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KUMI NA NNE
★★★★★★★★★★★★★★★★
Mwendo wa kurudi jimboni ulichukua kama nusu saa hadi kulifikia jumba la madam, nikiwa nimeitunza vizuri karatasi yenye namba alizonipatia askari yule mwanamke, naye Batundui akaniacha naelekea ndani wakati akienda kuegesha gari. Niliingia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments