Mara baada ya Fionna kuuliza swali hilo, Afande Simba aliishia kulijibu kwa hali ya usiri na kutokuelewa.
“Hata sisi mpaka sasa hatujui kilichotokea. Huenda kulikuwa na tatizo kwenye dawa aliyopewa, au dawa ilikuwa sahihi na Victoria mwenyewe ndiye aliyekunywa, lakini bado akaweza kumzaa Hamza. Na pia sijui nini kwa ujumla kinaendelea, lakini nina uhakika kwamba Victoria yupo hai, na Hamza ni ushahidi kwamba alizaliwa na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments