Reader Settings

Frederick, kwa namna ya mapozi ya kimaringo kabisa, alichomoa upanga wake katika ala kiunoni. Lakini sasa cha kushangaza, licha ya Frederick kuchomoa upanga ule, kilichoonekana ni mpini wake tu na hakukuonekana upanga wenyewe. Alijiuliza, inamaanisha nini hiyo?

Hamza alijikuta akiangalia kwa umakini, na palepale aligundua fika—ndiyo, ni mshikio tu wa silaha. Hamza alijiuliza kwanini mmajisi atumie silaha, na kubwa zaidi, silaha yenyewe kutokuwa na upanga.

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next