MIMI NA MIMI 4
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KUMI NA TANO
★★★★★★★★★★★★★★★★
Nimeshtuka ikiwa bado kuna giza la usiku, nami nikajitazama na kuona niko kitandani bado, Bertha akijikunjia mikononi mwangu, na kukiwa na hali ya joto lililoongezeka sana mwilini. Hii ingekuwa ni alfajiri ya mapema …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments