Siku ya kujiunga na shule ya upili ilipofika, aliabiri gari na mamake alfajiri na mapema kuelekea mjini Makoma.
Walipofika ilikuwa saa mbili, wakapata safu ndefu ya wanafunzi ambao pia walikuwa wamefika kwa shughuli iyo hiyo ya kujiunga shuleni humo. Wanafunzi waliokuwa karibu na usajili ulipofanyika walichungulia dirishani, walionekana wenye furaha.
Japo alikuwa pale kwa safu, macho yake yalikuwa kwa wanafunzi waliokuwa wakipita karibu yao nia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments