Reader Settings

Asubuhi na mapema Bw. Makali alipofika afisini, aliwakuta wavyele watatu wameketi nje ya afisi yake. Alipowaangalia, moyoni alihisi kisebusebu. Alipita kwa haraka pasipo hata na kuwasalimu.

"Mwanangu yuko wapi?!" mwanamke mmoja kati yao alimuuliza alipoona anapita bila kuwasalimu.

"Mwana yupi unayezungumzia?!" Bw. Makali naye aliuliza akigeuka na kuwaangalia.

"Mziwanda, mtendakazi wako. Niwie radhi kwa kutojitambulisha mwanzo. Mimi ni Bi. Zena, mamake …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next