SEHEMU YA 435.
Nini kimetokea? Hamza hakuelewa kabisa licha ya kujiuliza swali hilo.
Alichojua ni kwamba alilazimisha kupitisha nguvu ya karama ya damu yake kwenda kwenye ubongo na kupitia maumivu makali ambayo hayakumuua.
Kuhusu yule kiumbe wa kutisha aliyefanana na simba na nyoka kwa wakati mmoja, Hamza hakuelewa kabisa ilikuwa ikiashiria nini. Ukweli ni kwamba Hamza hakuwa na muda wa kutosha wa kufikiria ilikuwa nini. Isitoshe, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments