Reader Settings

Ndani ya chumba alichokuwepo mheshimiwa raisi aliingia katibu wake akiwa kwenye suti nzito, alisimama na kusikitika sana kwa namna alivyokuwa anamuona bosi wake anateseka alisogea mpaka pale ambapo alikuwepo raisi wa nchi ya Tanzania naye akachuchumaa akimkabidhi bosi wake kitambaa kisafi cha kujifutia machozi

"Mzee utakuwa hivi mpaka lini huwezi kuyasahau haya ukaendelea na maisha mengine?" Alijifuta na kugeuza shingo yake kumwangalia katibu …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next