Reader Settings

Hamza mara baada ya kusikia pendekezo hilo, aliishia tu kukunja sura kisha akasema:

“Sina matamanio yoyote ya kuwa kiongozi. Ila kwa kusikiliza tu ulichoongea, inaonekana wanazitumia hizi kambi kama silaha.”

“Hili si suala la kutumika kama silaha pekee. Hii pia ni namna yao ya kutaka kuona uimara wetu. Kwa njia hii ndiyo mbinu pekee ya kujua nani ni waaminifu na wapi ni wasaliti,” aliongea Simba.

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next