Hamza mara baada ya kusikia maneno hayo, aliishia kumeza mate kwa wingi na kisha kutingisha kichwa chake.
“Lakini..” Fionna alionekana kubadilisha mada na kuongea kwa wasiwasi.
“Hata kama sitoingilia mahusiano yenu, ila kuchanganyika kwa damu ambazo karama yake imeamka ni jambo kubwa linalopigwa vita. Wasiwasi wangu mtakumbana na changamoto kubwa sana kutokana na hili. Mnapaswa kujiandaa”
“Fionna, bado nashindwa kuelewa, inakuwaje hawa watu wa uungu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments