MIMI NA MIMI 4
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KUMI NA SABA
★★★★★★★★★★★★★★★★
Mwendo uliendelea, sasa nikiwa nimeketishwa na majambazi hawa huku mikono ikifungwa nyuma ya mgongo. Ningeweza kuhisi namna ambavyo gari lilitembea kwa kasi, kisha likipunguza, halafu kuanzisha kasi tena na tena. Nikiwa bado kwenye …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments