Mara baada ya Liam kufika kwenye kampuni siku hiyo, hali haikufanana kabisa na jana yake. Liam alijikuta akishuhudia sura nyingi ambazo hakuwahi kuziona awali. Nikama vile sasa Ukubwa wa kampuni hiyo ndio ulijidhihilisha kutokana na wingi wa wafanyakazi walio kuepo liam alipishana na wafanyakazi wa kira aina kuna waliokuwa wameshika mafaili, wengine walikua bize isieleweke ubize huo umesababishwa na nini wakielekea kwenye ofisi zao.
Liam, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments