MIMI NA MIMI 4
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KUMI NA NANE
★★★★★★★★★★★★★★★★
Nilifumba macho kwa kuingiwa na majonzi mengi mno. Kwa njia ya furaha, iliyoambatana na huzuni. Miryam alikuwa mbele yangu tena, sijui ningewezaje kuelezea namna nilivyohisi.
Miryam aliendelea kulia na kuning'ang'ania sana, nami …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments