Mziwanda aliandamana na Shata mpaka afisini mwa mkurugenzi wake, japo walikuwa wanatembea pamoja, kila mmoja alionekana kutomfurahia mwenzake.
" Karibu sana mwanangu," Bw. Makali aliwaamkua akimkaribisha Mziwanda kwa furaha.
Kwa pamoja walivuta vitu wakaketi baada ya kumsalimu Bw. Makali. Kutoka alipokuwa ameketi, alikuwa akichunguza manthari yake, mazingira yale yalionekana mapya kwake.
"Hongera kwa hatua uliyochukua," Mziwanda alimpongeza Bw. Makali baada ya macho yake kuridhia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments