Reader Settings

Hamza, mara baada ya kusikia pendekezo hilo, hakuwa na hiyana kabisa. Isitoshe, alitaka kujua uwezo aliokuwa nao Nyakasura ulipofikia.

“Okay! Tunaweza fanya hivyo,” aliongea Hamza, akionyesha ishara ya mkono wa kukubali.

“Unapaswa kujidhibiti vizuri na kutumia uwezo wako wote, maana pia nakwenda kutumia nguvu zangu zote kukushambulia,” alisema Nyakasura, macho yake yakizidi kuwa ya ukatili.

Mara tu baada ya kuchezesha vidole vyake, alifunikwa na nguvu …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next