“Umesema kwamba katika wanaojifunza unakubali watu wawili katika umri wetu. Huyo mwingine unayemzungumzia ni nani?”
Hamza alijua fika mtu yoyote ambaye anaweza kuingia katika akili ya Nyakasura lazima atakuwa na uwezo mkubwa. Hivyo alijikuta akijawa na shauku ya kutaka kumjua mwenzake ni nani.
Nyakasura, mara baada ya kuulizwa swali hilo, aliishia kuonyesha hali fulani ya kutotaka kujibu, ila akasema:
“Kuna mtu mmoja pekee ndani ya familia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments