Alipoketi alionekana mtulivu lakini kichwani alikuwa na mengi yaliyomsumbua. Baada ya kupoteza kazi kwa benki, maisha yalikuwa magumu. Pale mjini mtu aliyekuwa karibu yake kwa wakati huo alikuwa Ali, kumbukumbu ya jinsi walivyopatana chuoni ilimrudia.
Baada ya kuingia chuoni chaTini, mchakato wa masomo ulianza Baada ya majuma mawili.
Asubuhi moja wakiwa darasani wamemsubiri mhadhiri, waliingia vijana watatu wa kiume waliovalia nadhifu. Wawili wao walikuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments