MIMI NA MIMI 4
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KUMI NA TISA
★★★★★★★★★★★★★★★★
Miryam akaendelea kunitazama kwa subira, akingojea nimpe jibu kwa alichotoka kusema bila kutambua kwamba aliniacha ndani ya bumbuazi zito. Nikawa namwangalia kwa kuchanganywa sana, lakini nikijua alikuwa na hali fulani yenye kutatiza kiafya, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments