Reader Settings

Watu wengi mara baada ya kusikia kauli hiyo walijikuta wakishangaa. Ingawa hawakujua mpango wa Mjema ni nini na ni mtu wa aina gani, lakini maneno yake yaliwagusa mno na kufanya hakuna hata mmoja wao aliyetaka kukataa kuingia vitani. Sio hivyo tu, iliwapa watu hao mtazamo mpya juu ya familia ya Mjema na watu wa uungu wa kale.

“Afande Mjema, hakika maneno yako yametugusa mno. Sina …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next