Nje ya ukumbi kulikuwa na uwanja mkubwa wa mpira. Ingawa uwanja huo ulitumika kwa ajili ya mpira wa miguu, lakini eneo hilo lilitosha kwa ajili ya kushindana.
Chini ya wanakikao waliogeuka kuwa mashabiki, hatimaye Mzee Ikram na Shaibu walichukua nafasi zao kwa kuangaliana.
“Wewe ni mdogo, hivyo nitakuacha ufanye shambulizi la kuanza,” aliongea Mzee Ikram huku mwili wake wote ukitoa msisimko wa moto. Haukuwa moto …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments