Dollar Bilioni tano.
Kanali Dastani wazo la kumfuatilia Amosi lilikufa palepale , mara baada ya bwana aliejitambulisha kutumwa na Amosi kuingia katika gari yake.
Ukweli ni kwamba kwa muda wa mwezi mmoja wote , Amosi hakuwa nchini , alikuwa nchini Italia na Dastani alikuwa akijua kilichompeleka Amosi Italia ni suala ambalo linahusiana a mwanamke anaeitwa Naomi Lindsey.
Siku mbili nyuma Amosi alifanya amwasiliano …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments