Alitikisa kichwa, kisha, akishindwa kudhibiti hisia zilizokuwa zikimvaa, hamu ya mapenzi, na kitu cha kina kisicho na jina kikimvaa - alisogeza uso wake kwenye kiganja chake akimpapasa ngozi yake iliyo mwororo na laini, akasogea karibu zaidi na kunyonya lipsi za midomo yake. Walikiss kwa muda wakiwa wamekumbatiana, hisia zikiwapanda kana kwamba walikuwa wakisubiria wakati huo milele.
"Ndiyo, ulikuwepo," alisema kwa sauti ya chini yenye ukakamavu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments