Alinikiss kwa namna ambayo sikuwahi kukiss na mtu mwingine. Alinikiss kama vile alivyowahi kunikiss mara moja tu, akiwa kwenye treni ya Blue Witch, wakati homa na pombe zikiwa zimechanganyika kwenye damu yake. Niliwahi kuwaza ndani yangu, kwamba endapo angekuwa mwenye akili timamu na mwenye afya basi asingenigusa .
Lakini sasa alikuwa hana pombe kichwani, mwenye afya njema, na mwenye nguvu.
Alinivuta mbali pale juu ya maporomoko …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments