Reader Settings

Elias stanton alikuwa bado akisubiri pale pale ambapo Michael alimwacha wakati wamekubaliana Michael ndie aende akafanye utafiti juu ya Yolanda. Mara baada ya Michael kurudi alishangaa mnoo alvyomkuta Elias yuko vile vile akama alivyomuacha.

Bila shaka, Michael hakulijua hilo kama lingetokea. Alikuwa akijiimbia wimbo wake ndani kwa ndani kwa furaha. Ni ukweli alikuwa na furaha kuliko wakati wowote anaokumbuka katika maisha yake tena kwa muda …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next