Alitabasamu, kisha kana kwamba akijizuia kutetemeka, alniikamata mdomo wa chini kwa meno yake huku akinikiss.
“Unanipenda, mpenzi. Ama hujatambua bado, au huwezi kukiri, lakini unanipenda. Unanipenda kweli.”
“Achana na hayo, tafadhali.”
“Sawa, sawa.” Lakini alinikumbatia kwa nguvu, akanibusu kwa upole, kisha akaniachia na kusema tena.
“Nilifikiri… nilifikiri kuondoka pamoja nawe, Yolanda. Ikiwa utanikubali.”
Nyusi zangu zikajikunja hadi zikagusana.
“Lakini kila kitu chako …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments