Mazonge hayakumpa nafasi ya kufanya chochote pale afisini, hakuamini kwamba Shata alitaka kumpindua babake kibiashara alivyokuwa amemweleza kwa kinywa chake. Alishika kalamu kujaza fomu fulani lakini kalamu ikamtoroka mkononi. Tangu alipotoka gerezani alikuwa amejifanya kibaraka wa binti wa bosi wake ili mwenzake asiwe na wahka juu yake.
Siku iyo hiyo ndiyo aliyokuwa amepanga kupatana na Ali kujadiliana naye kuhusu safari ya kuelekea kisiwani Mawe kumtafuta …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments