Maisha yangu yakweli kabisa💯
Mimi naitwa hansi nilikuwa nacheza dansa mtaammoja unaitwa chungurira mkoani tanga nilikuwa kijana mvuta bangi nilie poteza muelekeo wakimaisha kabisa.
Siku moja tulipo kuwa tukifanya mazoezi nyimba ya Zuchu na D voice unaojulikana kama NANI. Basi alikuja msichana mrembo sana kwamajiba alikuwa akiitwa REHEMA. basi nilipo muona tu nilipatwa na mshangao ghafla tu😯 mana alikuwa ni mrembo sio mweusi wala sio mweupe kifuani saa 6 uso wa duara alikuwa mrembo alinivalia jeje na flana nyeupe alikuwa mwembamba hivi mfupi kama mimi. basi nilipo maliza kucheza nilimfata mwenyeji wangu ambae anaitwa Chale lakini anajiita Chalu dance basi nikamwambia "Oya kaka huyu mchumba mgeni anakaa wapi kaka nataka nijaribu bahati yangu" Chalu akacheka alafu akaniambia "Kaka huyo mchumba humuwezi kwanza anatoka na kakaake Ommy bad alafu matawi wewe sio levo yako kabisa achana nae" me nkashangaa kwanza mana kakaake OMMY BAD sio mdogo alafu REHEMA alikuwa anaonekana msichana mrembo sana na sio mkubwa ,
basi nikarudi home siku kadhaa zikakatika siku moja nikaenda tena tizi nikaktuana na watu nikatoa salamu tukaanza mazoezi hakichukuwa muda REY akaja na yeye dah😔 me nikabaki kumshangaa tu nikimmezea mate pole pole lakini sina jinsi nikawa macheza huku nawafundisha wanawake wengine nyimba za mapenziana mimi sio mtaalamu wamapiana na singeli me yangu mapenzi tu basi baada ya amzoezi tukawa tumepumzika tuna piga story lakini hiyo nyumba tunayo fanya mazoezi ni kwakina dansa mwenzetu aitwae TINA. Basi nikarudi home namba ya tina nilikuwa nayo ilivyo fika mishe ya saa 4 usiku TINA akanichek aWhatsApp
mambo hansi
NIKAMJIBU
poa mzima wewe.
Me mzima sijui wewe.
Niko safi vp unafanya nn now.
Nipo zangu kitandan mama nifany nini sasa muda hu.
Ok lakini me wasap yangu imepia kwanini tusianzishe group bana hansi.
ah wazo zuri hata me pia acha niunde alafu utabadd mashoga zako me nita add ma masella wangu na machura wengine.
sawa hansi hakuna shida unda.
Basi nikaunda group nikaliita
LOVE STORY❤️ akawa add mashoga zake na me nika add mchanganyiko basi group likaamzia siku hiyo chat chat sana bana mpaka nikapitiwa. Kesho yako muda wa tizi natumiwa text kuwa hakuna tizi hiyo siku kuna zaruro kwaiyo nisiende dah nkashukuru mana nilikuwa nimechoka vibaya🤪 basi hiyo siku nikaingia kwenye group letu jipya tukachat sana nikaona warembo wengi mmoja wapi alikuwa ni REHEMA lakini sikujua kama yupo nilianza kuchat nae ile siku nilichat mae mpaka saa 10 nilimuliza anapo kaa akanitajia duga dampo lakini sikujua kama ndo huyo REHEMA nilio pagawa nae😂 basi sikumuomba picha wala nini.
Hukunako tizi kila siku hakuna lakini me nilikuwa naenda kila siku maskani navuta zangu mabangi nakula valiam vidonge vya machizi nakula mpaka sumu ya panya kwenye bangi pombe yani vyote twende kiukweli nilikuwa densi lakini nywele chafu mchafumchafu yani kuna muda nilikuwa naona aibu mwenyewe lakini sikujali nikawa mana nilitika kuumizwa na mwana dada aitwae asra bana story yake siku nyengine💯
Basi alipita maskani akawa ananiangalia mpaka wanangu waka shtukia "OY VIPI HANSI YULE MCHUMBA VIPI MBONA ANAKUCHORA VILE anakuangalia vile"
me nkawajibu "AH HATA SIELEWI ME MWENYEWE MASHANGAA TU IMEKUWA HIVYO" basi tukawa tukala zetu bangi me nikaondoka nilikuwa naondoka pale saa 6 usku na nilikuwa nakaa MWAKIZARO
CHUNGURILA VS MWAKIZARO😂 kuna sungu sungu lakini ah me msella utabiambia ninj alafu wala nilikuwa sifati masela kiufupi nilikuwa nishampenza REY lakini ndo hivyo sina jinsi basi kilicho nipeleka kule sana sana nikumuona tu siunajua msela akipenda tenA kapenda😁❤️ basi ikawa kila siku naenda namuona akija dukani mana duka lipo pembenr ya maskani akija kama kawaida yake yete nikubiangalia tu mpaka naona aibu yani😁 siopoa najua mnaelewa wanangu😁 Basi huyu REY BEBE wa online wasap ambae ndo huyo huyo Rey wachungurira lakini sinui ilikuwa tunachat sana siku moja🤔 akaniomba picha nikamtumia akasema "ah kumbe ni wewe nakujua" nikamjibu "umenionea wapi" akasema si unakujaga mtaani kwangu na unakuja kucheza basi me nika mwambia "nitumie picha yaki nikuone" akatuma lakini bado sikumhua kwasababu nilikuwa nime tinga sana sababu yapili aliweka ile filter nyeupe kwaiyo nikashindwa kumjua kabisa
Basi tukawa tunachat siku moja nilipigiwa simu na chalu "Oya kaka nnjoo bana tupige tizi" me nilikuwa nazarura zamgu kwanza wamenishtukiza nkawajibu "Ntakuja lakini ntachelewa" nilikuwa nivaa kanzu vizuri tu nikaenda mpaka kwakina Sabrina pale nikakaa lakina sikumkuta Rey ila baada ya muda kidogo nikasema ngoja nikawashe kali sigara kali a k.a nyote wakati naenda dukani nikakutana na Rey uso kwa macho yupo na mdogo wake wakike akiitwa rahma akaniambia
mambo .
poa mzima wewe.😁
me mzima hofu kwako umpendae hajambo.
ah ajazaliwa bana vipi wewe upande wako bushosti.😁
hata me bado
akanishika mkona akaniuliza unaenda wapi me nkiamwambia naenda shop apo chap akaniambia nimnunulie pipi
nikamwambia poa lakini hapo nilijihisi furaha sana kwakua yule rey nilikuwa nampenda sama. basi nipo fika kiduka nikachukua mazingira yangu kali nikawasha nikawa narudi mazoezini hukua navuta nilipo fika nikaimaliza nilkakaa pembezeni mwa baraza. mara kidogo nikamuona rey akaja kajibana ukutani mpaka me nikasogea ili akae vizuri mpaka watu alishangaaa😯
mara aknipokonya simu yangu em niangalie nitajie lock nikamtajia akaanza kuakagua siku mpatiliza nilikuwa naangalia nyimbo mpya huku ikitungwa
basi akanipa simu yangu akaniambia anaondoka na niwahi kurudi mana ananionaga nikichelewa basi mi nikafabasamu tu🥰 akaondoka zake
walioa maliza kama kawaida maskani choma mabangi sana mpaka nikaondoka pale nikarudi home nilipo washa data tu nikakuta ujumbe wake kwenye group chat sana mpaka inbox sana tu chati basi ikawa tizi siendi maskini na mimi mtaani kwangu MWAKIZARO sasa ikapita miezi 3 siku hiyo night Rey akaniambia kuna kitu nataka nikambie nikamwambia niambie akaanza kjniadisia kuwa yupo na boy wake anamtesa sana😔💔 amtafuti mambo kibao anamfumania l me moyo wangu uliumia kwasababu nilikuwa nishampenda basi nkampa ushaur pale💯
"Skia rey mapenzi ndo yalivyo me mwentewe yashanikuta we vumilia tu au achana nae kabisa au mblock tu😔😁 huku nikiuhuzunika huku nikicheka kinafkia tulikuwa tunachat apo basi akaniambia na block aka screenshot akanionesha💯 basi me nikamwambia naomba unitumie picha zakobnyengie. rey sasa akatuma 😯 hazina filter haaaa 😯 ndo nilipo shangaa kumbe wewe ndo rey akaniambia
Ndio mimi.
Me nilikuwa sijakujua siku zote hizo unajua.
wewe hansi unazarau lumbe kila siku tunachat alafu hunijui😡
basi me nikamwambia samahani sana lakini huo ndo ukweli mamy usikasirike🥰
basi akajiachia tumaanza kuchat upya sasa me nikawa nishamjua bana🥰 kesho yake ilikuwa mida ya saa 6 akanichek inbox
MAMBO.
POA VIPI REY.
SAFI MZIMA WEWE KIPENZI
ME 😯 MZIMA SIJUI WEWE
NIKO POA KABISA UNAJUA JINI HANSI
🤔NIAMBIA KUNA NINI 🤔
KUNA KITU NATAKA NIKWAMBIE
TUISHIE HAPA BANA KWA LEO TUSUBIRI KIPANDE CHEMGINE KINACHO❤️
KWA MAJINA NAITWA
Hansi Love💔 TikTok utakutana na memes zamgu kama ni mpenzi wa memes tusubiri kipande kijacho❤️
AHSANTENI❤️
Comments