SONGA NAYO................
Alisimama na kujibanza kwenye mti baada ya kuona jambo la kutisha mbele kidogo kutoka pale ambapo alikuwepo. Mwanaume ambaye kwenye mwili wake alivalia koti refu la rangi ya ugoro, suruali ya jeans ambayo ilifanania na koti lake pamoja na buti kubwa ambalo ni maarufu kama American boot huku uso wake ukiwa umefunikwa kwa kitambaa chenye rangi ya ugoro na kichwani akiwa na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments