Shata alimwangalia mwenzake kwa jicho la chuki, alijua kilichokuwa kimempeleka katika afisi ya babake. Mziwanda hakupendezwa na uamuzi wa mwenzake, lakini hakuwa tayari kumweleza.
"Pilipili usiyoila yakuashiani!" Shata alianza kumtenda.
"Ah! Mimi niliamua kuwa mkweli," mwenzake alijitetea.
"Ukweli wako hautakufukisha popote. Unajua kilichotokea kati ya wazazi wangu mpaka babangu kupata mali anayoogelea ndani kama ziwa!"
"Hapana."
"Basi usiingilie uamuzi wangu. Baba akiwa na mamangu, walichuma …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments