Wengi wa wanajeshi waliokuwepo hapo hawakuwa na uelewa wa kilichotokea miaka mingi iliyopita. Isitoshe, ukiachana na kwamba wazee walikuwa wachache na vijana wengi, hata hao wazee hawakuwa na taarifa nyingi zinazotokea kwenye vitengo.
Licha ya kwamba ilikuwa ni kweli kuliwahi kutokea mgogoro kati ya Jemadari na Afande Musiba miaka mingi iliyopita, lakini kwa sababu wengi wa watu walikuwa ni wa nje ya familia hawakujali sana.
…Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments