Reader Settings

Hamza, mara baada ya kuona anakaribia kupokea shambulizi lile, mara tu alirusha ile silaha mkononi mwake.
Mara baada ya kurusha silaha, ilionekana kuelea angani na palepale akatumia nguvu ya nia kuiongoza. Ghafla ikageuka kama mshale wenye spidi kubwa na kujifyatua moja kwa moja kuelekea juu alipo Shaibu.

Ukweli ni kwamba kwa kimbunga kile ilikuwa ngumu kwa Hamza kurusha silaha na kisha kuipandisha juu. Lakini kitendo cha …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua