Reader Settings

DYLAN

Story by Elton Tonny

Familia, Kazi, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Tamaa, Hila, Unyanyasaji, Usaliti, Visasi, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa

(R-rated 18+)

Enjoy!


★★★★★★★★★★★★★★★★

 SEHEMU YA KUMI NA MOJA

★★★★★★★★★★★★★★★★


2014 


SAÕ PAULO, BRAZIL


Ulikuwa ni mwaka ambao Dylan alihitaji kufanya uamuzi wa muhimu sana. Alikuwa amesoma shule kadhaa ambazo zilimwongezea ujuzi na kumpa tuzo za kitaaluma kutokana na bidii yake na mafanikio mazuri katika masomo na michezo. Alishauriwa na baadhi ya walimu na watu aliofahamiana nao huko kwenda chuo kusomea mambo ambayo yangemfanya aajiriwe kwenye sekta kubwa za jamii kwenye nchi hiyo.

Lakini yeye alipenda zaidi masuala ya ukandarasi, na upendo huu ulirithishwa kwake kutoka kwa baba yake, ambaye alikuwa mjenzi na mkandarasi mzuri sana. Alitaka kuwa kama baba yake kwa mambo mengi sana, hivyo aliamua kuchagua kozi ya 'Civil Engineering' ambayo angesoma kwa miaka sita. Alifanikiwa na kuchaguliwa kwenye chuo kikuu cha USP (University of Saõ Paulo), ambacho kilikuwa cha hali ya juu sana na kilichotoa masomo bure kabisa kwa wachaguliwa hapo.

Kufikia wakati huu, bado alikuwa akiishi nyumba moja na shangazi yake, yaani mdogo wake baba yake. Waliishi pamoja kwa miaka mingi sana tokea Dylan alipokwenda huko. Shangazi yake huyu alikuwa akifanya kazi ya kutengeneza mitindo ya mavazi iliyopendwa sana, na alikuwa ameolewa na mwanaume fulani mbrazili miaka mingi iliyopita ambaye ndiye alimleta kwenye nchi hii. 

Baadaye waliachana na kutalikiana miaka michache nyuma, na sasa alikuwa kwenye mahusiano na mwanaume fulani mwingine ambaye alikuwa na tabia za ajabu-ajabu tu. Dylan hakupendezwa naye hata kidogo kwa kuwa angekuja hapo nyumbani na kujifanya yeye ndiyo kichwa kwenye kila kitu, na mara nyingi alimpelekesha sana shangazi yake kufanya mambo alivyotaka yeye. Dylan hata alikuwa akimshangaa sana shangazi yake kwa kuwa na mtu kama huyo, lakini hakuwa na jinsi ila kumwacha tu ayaongoze maisha yake jinsi alivyotaka. 

Shangazi yake aliitwa Camila, naye alikuwa mwanamke mrembo sana mwenye miaka 35 WAKATI HUU, na hakuwa na mtoto hata mmoja. Kipindi hiki alikuwa ameajiriwa kwenye kampuni ndogo ya mitindo kama 'fashion designer' wa mitindo ya nguo na urembo. Kufikia kipindi hiki, Dylan alikuwa kijana mwenye sura na umbo la kiume lenye kuvutia wanawake wengi. Alikuwa amefikisha miaka 20 miezi michache iliyopita, na alikuwa na mwili mpana wenye kujijenga vizuri sana kutokana na mazoezi yake ya viungo na upenzi wa sarakasi. 

Dylan alikuwa na mpenzi wa kibrazili, aliyeitwa Amanda, ambaye aliishi mtaa wa jirani na maeneo ilipokuwepo nyumba ya shangazi yake. Walikuwa wamedumisha uhusiano wao kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu sasa. Wakati huu alikuwa kwenye matatizo pamoja na mpenzi wake huyo kwa sababu alianza kufanya mambo kwa njia isiyoeleweka; mara amdanganye vitu fulani, mara anune-nune bila sababu, visa visa vya kitoto, kiufupi Amanda alikuwa anajaribu kutengeneza njia ya kumkwepa Dylan, ijapokuwa Dylan hakumkatia tamaa kwa sababu alimpenda sana.

Ndipo siku moja Dylan alipata habari iliyomshtua sana. Alitumiwa ujumbe usiku na mtu asiyejulikana kuwa Amanda alikuwa akitoka kimapenzi pamoja na mwanaume mwingine. Akaambiwa ikiwa alitaka kuthibitisha, aende sehemu fulani ambayo angemkuta Amanda pamoja na huyo mtu wake. 

Bila kukawia, Dylan alikwenda huko upesi ili kujionea ikiwa kweli alichoambiwa kilikuwa sahihi. Alimwamini Amanda, lakini kutokana na jinsi tabia yake ilivyokuwa imebadilika, alihisi uhitaji wa kutaka kuthibitisha ikiwa kweli bado Amanda alistahili kuaminiwa. Ni mpaka alipofika eneo lile na kukuta vijana kadhaa wakiwa hapo; Amanda akishikwa-shikwa mwilini na kijana fulani, kisha wakaanza kudendeshana huku wengine wakifanya mambo kama kucheza muziki na kuvuta sigara na kunywa pombe.

Dylan aliingiwa na majonzi sana baada ya kuona vile. Alihisi hasira pia iliyomfanya awafate pale na kumpiga ngumi yule jamaa. Amanda alishtushwa na uwepo wa Dylan hapo ambao hakuutarajia, na vijana wale wengine wakaacha mambo yao na kumwangalia Dylan kwa mshangao. Alimuuliza Amanda kwa nini alimfanyia hivyo, lakini binti hakusema kitu chochote. Alipomshurutisha aseme, wale vijana wengine wakamfata na kuanza kumpiga.

Kutokana na hasira alizokuwa nazo, aliwachangamkia wote upesi kwa kuwapiga kwa mtindo wake wa 'capoeira' uliowachanganya wote na kuwaacha wamelala chini baada ya kupigwa vibaya; kutia ndani jamaa wake Amanda. Amanda aliogopa sana na kukimbia, na ndiyo hapo mapolisi wakawa wamefika. Walimchukua Dylan na kumpeleka kituoni, ambako baada ya muda fulani, Camila alifika na kufanikiwa kumtoa ili amrudishe nyumbani. Alikasirishwa sana na kitendo ambacho mpwa wake alifanya, naye akamfokea mno kuhusu jinsi ambavyo alimweka kwenye wakati mgumu. 

Dylan hakuwahi kutenda kwa namna hiyo hata mara moja, kwa hiyo alijihisi vibaya kwa kuwa shangazi yake hakusikiliza maoni yake kuhusu jambo lililotokea na badala yake kumlaumu tu. Kwa maumivu aliyokuwa nayo baada ya kusalitiwa na mtu aliyempenda, alihisi ni kama hakutendewa haki hata kidogo.

"But aunt... (Lakini shangazi..)" akajaribu kujitetea.

"No. You stay quiet. Do you have any idea how much all this takes away your good reputation? What... just what got into you? You just go out there... and beat up someone just 'cause you can? What insufferable behavior is this suppo... (hapana. Kaa kimya. Hivi unajua ni jinsi gani haya yote yanasababisha sifa yako nzuri ipotee? Ni nini kimekuingilia kichwani? Unatoka tu huko nje na kupiga mtu jwa sababu tu unaweza? Ni aina gani mbaya ya tabia ambayo umei...)"

"Enough! (Inatosha!)" Dylan akamkatisha.

Camila alishtuka kiasi baada ya kuona Dylan amekuwa mkali kwake kwa mara ya kwanza.

"I care a damn about reputation! (sijali chochote kuhusu sifa nzuri!)" Dylan akasema kwa ukali.

"Dylan... unawezaje kuongea nami kwa njia hiyo?" Camila akauliza.

"Just leave me alone. My opinions don't matter anyway (niache tu. mambo ninayosema huwa hayana maana hata hivyo)," akasema Dylan, kisha akaondoka na kwenda kwenye chumba chake.

Alimwacha Camila akiwa anashangaa sana. Hakuwahi kumwona Dylan namna hiyo, hata kama angekuwa na tatizo, sikuzote wangeongea vizuri tu, haijalishi ikiwa alimfokea au la. Lakini pia hasira ya Camila haikuwa kwa sababu tu ya kile alichofanya Dylan, bali ilikuwa kutokana na mkazo alioupata kutoka kwa mwanaume wake. Aliketi hapo sebuleni akitafakari mambo kidogo, kisha akaelekea chumbani kupumzika.

Ijapokuwa kihalisi wawili hawa walikuwa ni watanzania, maisha waliyoishi huku yaliendana kabisa na tamaduni za wabrazili. Walivaa, walikula, waliongea kwa njia za utamaduni wa huku, hivyo ni kama wao pia walikuwa ni wabrazili. Camila na Dylan walizungumza lugha tatu; kiswahili, kiingereza, na kispanish cha wabrazili, mara nyingi wakipendelea kuchanganya lugha hizo kwenye maongezi yao ya kila siku. 

Siku hiyo ikawa imepita.


★★★


Ilipofika asubuhi, Dylan alikuwa ameketi sehemu yake ya kulala tu akitafakari mambo kwa kina. Alifikiria kuhusu usaliti wa Amanda, ugomvi wake na Camila, na chuo pia, ambacho angeanza ndani ya siku chache. Mambo yote yalikuwa yenye kukonga moyo wake, lakini jambo muhimu wakati huu ilikuwa shangazi yake. Alijihisi hatia sana kwa kuongea naye kiukali usiku wa jana, naye alitambua angepaswa kumwomba samahani.

Hivyo akajitoa hapo na kuelekea chumbani kwa Camila. Alikuta mlango ukiwa wazi kiasi, hivyo akajua tayari shangazi yake alikuwa ameamka. Akavuta pumzi na kuishusha, kisha akaingia ndani hapo.

"Aunt Cami..." 

Alikuwa anataka kumwita pale alipokatishwa na kile alichokiona mbele yake. 

Camila alikuwa amesimama karibu na kitanda, akiwa hajavaa nguo hata moja mwilini! Alikuwa amempa mgongo, hivyo Dylan aliweza kuona sehemu ya nyuma ya mwili wake vyema. Camila alikuwa na umbo zuri; mrefu kiasi, mwenye hips nene na kalio lililotokeza vyema nyuma, huku ngozi yake ikipendezeshwa na weupe wa mbali aliokuwa nao. Dylan alishindwa kufanya jambo lolote na kubaki kumtazama tu. 

Ndipo Camila akageuka na kumwona akiwa amesimama hapo, kisha kwa haraka akachukua taulo iliyokuwa kitandani hapo na kujifunika kifuani huku anamtazama Dylan kwa kushtushwa na uwepo wake hapo. Dylan akabaki anamwangalia machoni tu, naye Camila akaonekana kuweka uso wenye utulivu kiasi, akimwangalia mpwa wake kama anasubiri jambo fulani litokee huku kashika taulo yake.

Kijana huyu akamshusha na kumpandisha taratibu Camila kwa macho yake, kwa njia ambayo ilionyesha... upendezi. Camila hakuweza kusema chochote ila kumwangalia tu, akijaribu kutafakari ni kitu gani ambacho Dylan alikuwa anafikiria, na alikuwa amesimama hapo chumbani kwake kwa muda gani pia.

Dylan akatazama chini akiwa na uso wenye huzuni kwa njia ya kawaida kabisa, kisha taratibu akarudi nyuma na kuufunga mlango akimwacha Camila anauangalia. Camila alishindwa kuelewa maana ya Dylan kufanya hivyo, kwa kuwa alifikiri huenda kijana huyu alikuwa amemwangalia akiwa uchi kwa muda mrefu chumbani hapo. Akaanza kufanya jitihada za kuvaa nguo ili atoke kwenda kuongea naye. 

Alipomaliza, alienda sehemu ya sebule na kuanza kumwita Dylan, lakini hakuitika. Ikabidi amfate chumbani na kumsisitizia atoke waongee, na baada ya kuona kimya tu, akausukuma mlango na kuingia. Hakukuwa na uwepo wa mpwa wake ndani humo, naye akawa ametambua kuwa kijana wake huyo alikuwa ameondoka baada ya kuangalia na mazingira ya nje na kumkosa.

Ilikuwa ni siku iliyomfanya Dylan ahisi upweke sana. Alikwenda sehemu mbalimbali pamoja na baadhi ya rafiki zake ili kujifurahisha, lakini kwake ilikuwa ni kupoteza muda tu kwa sababu ijapokuwa alijitahidi kusahau mambo yaliyotokea, ilikuwa ngumu kuyafuta akilini kwa kuwa mara kwa mara yalijirudia kichwani. Alipoachana na rafiki zake, alitembea mwenyewe jijini na kukaa sehemu fulani kutafakari mambo. 


★★


Zilikuwa zimebaki siku chache tu Dylan aondoke nyumbani pale kwenda chuo. Hakutaka kuondoka akiwa kwenye hali ya sintofahamu pamoja na shangazi yake kipenzi. Camila alikuwa mwanamke mwenye kujali sana, mpole, mstaarabu, na kwa miaka yote tisa ambayo Dylan aliishi naye, hakuwahi kugombana namna hiyo pamoja naye; yaani kumpandishia sauti. Dylan alijilaumu sana kufanywa mpenzi kipofu na Amanda. Yeye ndiye aliyekuwa amesababisha hasira ya Dylan iwake na kumfanya ashindwe kujidhibiti.

Dylan alifikiria kumpigia simu Camila, lakini bado akawa na wasiwasi fulani uliomfanya aache. Alijua angepaswa tu kurudi nyumbani, hivyo akaamua kuwa wakati ambao angerudi angeongea naye; kwa kuwa sasa aliweza kuituliza zaidi akili yake. Kuna wakati ambao angekumbukia jinsi Camila alivyoonekana chumbani kwake ile asubuhi, na kumwaza namna hiyo kulimfanya ahisi hatia kiasi. Hakujua ni kwa nini jambo lile liliendelea kuzunguka akilini mwake ijapokuwa alifanya juu chini kuliondoa kichwani.


★★


Ilifika mida ya saa mbili usiku, naye Dylan akawa anarejea nyumbani sasa. Hakuwa amerudi tokea alipoondoka asubuhi, na alijua bila shaka shangazi yake alimsubiri kwa kuwaza sana. Nyumba yao ilikuwa imejitenga kiasi na nyumba zingine eneo la hapo, na majirani wengi waliishi kwa kutengana-tengana. Ilikuwa nyumba ya kulipia, kama ya kupangishwa, nayo ilikuwa na uzio mfupi na geti dogo la kuingilia ndani umbali mfupi kutokea barabarani.

Wakati Dylan alipokuwa amelikaribia geti, alianza kusikia sauti za juu ndani mule, kama watu wanafokeana. Akatembea upesi zaidi na kuingia getini hapo, naye akapata kuona kupitia dirisha shangazi yake akifokeana na yule mwanaume ambaye alikuwa mpenzi wake. Akaudhika mno kwa kuwa kama kawaida, bila shaka mwanaume huyu alikuwa anamletea fujo shangazi yake hapo. Sikuzote walipogombana, Dylan aliwasikia akiwa chumbani kwake, na mara nyingi ilikuwa ni bangi tu za kibrazili zilizompanda huyo jamaa. Lakini wangepatana tena na kuonekana wanayajenga, kisha ugomvi lazima tu ungetokea tena. 

Lakini wakati huu, inaonekana mambo yalikuwa tata zaidi. Dylan alimsikia Camila akisema kwa hasira kwamba amechoka, na anavunja uhusiano huu kwa kuwa mwanaume huyo hakumtendea kwa heshima na staha. Ndipo Dylan akamwona jamaa amemshika shangazi yake kwa nguvu mikononi, na kwa hasira, akamtikisa-tikisa huku anamwambia hawezi kuachana naye kwa kuwa hatapata mwanaume mwingine. Kisha akamsukuma na kumfanya Camila aangukie vitu fulani vilivyotoa sauti ya juu ya kudondoka.

Dylan alikuwa amesimama hapo karibu na dirisha akiona kila kitu, naye akashtua pumzi ya hasira kuashiria alikuwa anataka amwonyeshe jamaa huyo adabu maana yake nini. Akaweka uso ulio 'makini' na kuingia ndani hapo. Mwanaume huyo hakutambua ujio wa Dylan kwa kuwa alikuwa anamfokea Camila aliyekuwa chini bado huku analia kwa huzuni na hasira. Dylan alitembea kwa njia ya kawaida tu kama vile hakukuwa na tatizo, kisha akafika hapo na kumsukuma jamaa, ambaye aliwewesekea mbele na kuangukia kwenye sofa.

"Dylan!" Camila akaita baada ya kumwona hapo ghafla.

Kijana akageuka na kuchuchumaa chini, kisha akamshika shangazi yake na kumsaidia anyanyuke. 

"Niñito engreido! (mvulana mpumbavu wewe!)" jamaa akasema kwa hasira.

Kisha akanyanyuka na kumfata Dylan, akimshika kwenye kola ya shati lake huku anamwangalia kikatili. Camila alikuwa anamwambia amwachie mpwa wake kwa kuwa ni mdogo, huku Dylan anamtazama mwanaume huyo bila woga wowote. Jamaa akatoa mkono wake mmoja kwenye kola ya Dylan na kutaka kumpiga ngumi, lakini kwa kasi Dylan akakwepa na kumpiga mbavuni kwa kiwiko, jambo lililomuumiza sana jamaa na kumfanya arudi nyuma kidogo. Camila alishikwa na taharuki kubwa kwa kuwa sasa walikuwa wameanza kupigana. 

Jamaa alipositiri maumivu kiasi, akamfata Dylan ili amrukie, lakini upesi Dylan akatumia mtindo fulani wa sarakasi kuirudisha miguu yake kwa nyuma na kukibana kiuno cha Camila, halafu akajigeuza kwa mikono na kurukia upande mwingine, akiizungusha miguu yake. Hii ilifanya Camila awewesekee upande mwingine huku mwili wake ukizunguka na kukaribia kuanguka, lakini ndiyo huo upande ambao Dylan alikuwa amerukia, hivyo akamdaka kwa utulivu na kumkalisha kwenye sofa. Hii ilikuwa ni njia ya kumlinda Camila asipamiwe na jamaa, kwa kuwa jamaa alipitilizia mpaka kwenye TV na kuiangukia vibaya.

Camila alishangazwa na ustadi huo wa Dylan, huku akipumua kwa hofu kubwa. Dylan akamwangalia kwa kujali, kisha akasimama na kumtazama jamaa. Akanyanyuka kibishi-bishi ili aendeleze ubabe wake, lakini Dylan hakutetemeshwa na hilo. Jamaa akaanza kumfata, na alipotaka kumshika, Dylan akampiga kwa mitindo mingi yenye kushtukiza; mara begani, hajakaa sawa, pajani, hajasikilizia maumivu, tumboni, yaani haraka-haraka na kwa nguvu sana. Camila alikuwa analia huku akijaribu kuwaambia waache, lakini vilio hivyo ndiyo vilikuwa vinamwongezea tu hamasa kijana wake aendelee kumtandika huyo mjinga.

"Dylan stop! Please..."

Kufikia hapa, kwa Dylan ilikuwa imepita kiasi kuendelea kuona mwanaume huyu anamsumbua shangazi yake, hivyo aliazimia kumpa somo kuwa akimzingua tena, atamnyoosha. Akamburuza mpaka nje ya nyumba, huku sasa mwanaume huyo akiwa amelegea kwa kupigwa sehemu nyingi zenye udhaifu. Camila alishangazwa sana na njia ya Dylan ya kufanya mambo. Hakuwahi kumwona anapigana na mtu, na hakufikiria angeweza kumpiga mwanaume huyo mtu mzima jinsi hiyo.

Dylan akamtoa jamaa mpaka nje ya geti na kumsukuma chini. Kulikuwa na watu wachache hapo ambao walisogea baada ya kusikia sauti zilizozidi za kelele kutoka humo ndani. Baadhi walimfahamu Dylan tokea alipofika hapo, na walimzoea kuwa mtu mchangamfu na mtundu, lakini hawakuwahi kumwona akiwa amekasirika namna hiyo. 

Dylan akamshika tena jamaa na kuanza kumnyanyua, kisha akamsukumia kwenye geti akimkandamizia hapo. Mwanaume mmoja alijaribu kumshika Dylan ili amzuie, lakini Dylan akamgeukia kwa hasira na kumnyooshea kidole, akimwambia bila kutoa maneno kuwa asiguswe. Badiliko hilo la Dylan liliwaogopesha sana waliokuwa hapo. Mwanaume huyo aliyepigwa na Dylan hakuonyesha ujanja tena, bali maumivu tu na damu zilizomtoka usoni. Yaani hakumkwaruza Dylan hata sehemu moja!

Camila akaja nyuma ya mpwa wake na kumsihi amwache huyo bwege, kwa kuwa alikuwa amekwishamfukuza kwenye maisha yake, hivyo Dylan akamwambia jamaa apotee haraka sana. Kwa woga, mwanaume huyo akaanza kuondoka huku anachechemea, akisindikizwa na macho ya wengi hapo. Camila akamshika Dylan mkono na kuanza kumvuta ili warudi ndani, na baada ya kuingia getini akalibamiza kwa nguvu na kulifunga akiwa amevurugika akili.

"Que te pasa? (una shida gani?)" Camila akamuuliza kwa ukali.

"Que pasa? (shida gani?)" naye Dylan akauliza kwa ukali.

"How could you do something like that? (unawezaje kufanya jambo kama hilo?)" Camila akauliza kwa ukali.

"Ulitaka nifanye nini aunt Camila? Nimwimbie sé preparo?" Dylan akauliza pia.

"Usinichanganye Dylan. You have no idea what I'm going through! (haujui ninapitia nini!)" akasema Camila kwa hisia za majonzi.

"I do! Ninajua vizuri sana kwamba mwanaume huyo hakufai. Ni woga wako tu ndiyo..."

"Dylan!"

Dylan akasitisha kuongea na kumtazama shangazi yake usoni. Aliona jinsi shangazi yake huyu alivyokuwa ameghafilika kweli. Lakini ukitegemea hali ambazo Dylan alikuwa ametoka kupitia na Amanda, alihisi kama vile alihitaji kumwambia ukweli shangazi yake ili aone mambo kihalisi.

"Ndiyo hakufai. El solamente te hace dudar de ti misma y de tus (anakufanya unajishuku tu mwenyewe na uwezo wako ukiwa mwanamke)," Dylan akasema.

"How dare you!" Camila akasema kwa hisia.

"El está no es el indicado si prefiere salir con sus amigos en lugar de hacer algun plan contigo... (mwanaume huyo siyo sahihi kwako ikiwa anaona ni bora kutumia muda wake na marafiki zake badala ya kukaa nawe na kuyapanga maisha yenu...)" akasema Dylan kwa hisia kali.

"Sufficiente.. (Inatosha)" Camila akamwambia.

"... si durante el dia no te llama o no te escribe para saber de ti, creéme, siempre hay tiempo para hacerlo por muy ocupado que se esté (...ikiwa hakupigii wala kukutumia ujumbe ndani ya siku kukujulia hali, niamini, sikuzote huo muda upo hata kuwe na ubize mwingi kiasi gani)" Dylan akaendelea kumwambia ukweli.

"Sufficiente Dylan! (Dylan inatosha!)" akasema Camila huku anapumua kwa kasi.

"Ndiyo...  hakufai! Ulijilazimisha tu kufikiri bado unampenda lakini ilikuwa ni kwamba unaogopa tu kuachwa!" Dylan akasema kwa mkazo sana.

Camila alinyanyua mkono wake na kumpiga kofi la nguvu usoni! 

Dylan akawa ametazama pembeni, kisha akamgeukia na kumwangalia kwa hisia. Camila alikuwa ameziba mdomo wake kwa kiganja chake huku analia, akijisikia vibaya baada ya kumpiga mpwa wake hivyo. Mambo yote aliyosema Dylan yalikuwa kweli, na ni kwa sababu ya huo ukweli ndiyo Camila aliumizwa sana na maneno ya Dylan. Akakimbilia ndani haraka na kwenda kujifungia chumbani kwake huku analia kwa huzuni.

Dylan alibaki hapo getini akihisi simanzi nzito sana iliyoambatana na hisia za majuto. Alianza kujilaumu kwa nini alimwambia shangazi yake mambo hayo yenye kuumiza sana. Muda mfupi uliopita alitaka tu kurudi nyumbani na kurekebisha hali ya hewa baina yao, lakini sasa tena mambo yakavurugika zaidi. Akakaa chini na kuegamia geti, akiwa amefumba macho kwa huzuni.

Dakika kadhaa kupita, akanyanyuka na kwenda ndani. Alienda mpaka kwenye mlango wa chumba cha Camila na kutaka kupiga hodi, lakini akasita, akifikiria huenda shangazi yake hata hakutaka kumwona. Akaahirisha na kurudi sebuleni pale. Akarekebisha baadhi ya vitu vilivyokuwa vimevurugwa na kusafisha vile vilivyovunjika. Akachukua matunda kiasi na kula, huku akimfikiria sana Camila. 

Baada ya muda fulani kupita, aliona afunge milango ya nyumba nzima na kuingia chumbani kwake ili apumzike. Matukio ya siku hii yalizidi kumfanya ajihisi upweke wa hali ya juu, kwa kuwa mfariji wake aliyekuwa huku wakati huu alihitaji kufarijiwa, huku yeye ndiye ambaye alimwongezea huzuni. Akajaribu kusoma vitu fulani kwenye simu yake, kisha baada ya hapo akalala.


★★★


Alikuja kuamka asubuhi ya saa mbili, naye akaingia bafuni kujisafisha mwili na kinywa pia. Alihisi wasiwasi mwingi kwa kuwa alijua angehitaji kutoka na kwenda kuongea na shangazi yake, ambaye huenda bado alikuwa kwenye huzuni, na ambaye huenda hangetaka hata kumwona baada ya kilichotokea jana. Lakini akajikaza kiume na kuelekea sebuleni pale. Hakukuwa na mtu, lakini aliweza kutambua kuwa chai na vitafunwa vilikuwa vimeshaandaliwa mezani, hivyo bila shaka shangazi yake alikuwa ameamka mapema na kuvitengeneza; Dylan akiamka afike na kula tu.

Lakini mawazo ya Dylan yalikuwa mbali sana kutoka kwenye chai. Alihitaji sana kuiweka hali baina yao iwe sawa kwa haraka, hivyo akaona amfuate chumbani kwake. Alipofika, alikuta mlango uko wazi kuruhusu nusu mwili upite, na kwa sababu hakuwa na uhakika ikiwa Camila angetaka kumwona, akaona aingie tu wayamalize mapema. 

Alipoingia, hakumwona sehemu hiyo. Ile anataka kumwita, Camila akatokea kwenye bafu la humo humo chumbani akiwa amejifunga taulo kuanzia kifuani mpaka ilipoishia mapajani. Kichwani kwake alijifunga taulo kubwa kwa ajili ya kukausha nywele zake, naye akaenda usawa wa kitanda na kusimama akiwa amempa mgongo Dylan, bila kujua yuko nyuma yake. 

Kwa mara nyingine tena Dylan alipatwa na hisia za ajabu-ajabu baada ya kumwona shangazi yake namna hiyo. Fikira ya kwanza iliyomjia akilini ilikuwa ni kuondoka haraka ili ampishe avae, lakini kukawa na kitu fulani ambacho kilikuwa kinamsukuma aendelee kumtazama tu. Alimwangalia kwa njia yenye uvutio mwingi sana, kuanzia miguuni, alipandisha macho yake taratibu mpaka mgongoni kwa Camila akipendezwa na mwonekano wake. 

Hakuwahi kumtazama kwa njia hiyo kabla, ijapokuwa hata pindi ambazo waliwahi kwenda sehemu kama beach pamoja, alimwona akiwa amevaa nguo nyepesi za kuogelea zilizoonyesha viungo vyake, lakini hakumtazama jinsi alivyomtazama sasa. Wimbi kubwa la hisia ambazo zilimchanganya liliuvaa mwili wake na kumfanya ashindwe kujua cha kufanya. Alijua hakupaswa kuendelea kumwangalia, lakini akaendelea tu.

Camila alikuwa ameanza kuitoa taulo ile iliyokuwa kichwani huku anafuta-futa nywele zake laini zilizolowana, pale alipomwona Dylan nyuma yake kupitia kioo kilichokuwa upande wa pembeni kwenye kabati. Alishtuka na kugeuka nyuma kumwangalia, naye Dylan akamtazama machoni kwa hisia. Camila hakusema chochote, akageukia tu mbele baada ya kukumbukia kilichotokea usiku wa jana; jinsi kijana wake alivyompa ukweli kwa njia yenye kuumiza. Akabaki amesimama tu akizizuia hisia zake za maumivu.

"Unaonaje ukiniacha nivae?" 

Camila akamwambia maneno hayo kwa sauti ya chini yenye utulivu sana. Dylan alisikia, lakini hakutii maneno hayo aliyoambiwa. Kuna kitu kilianza kumsukuma, siyo kitu kabisa, yaani, hisia fulani ambayo ilikuwa mpya kabisa kwake. Akaanza kupiga hatua kuelekea aliposimama Camila taratibu, kama vile anasita-sita. Camila aliweza kumwona kupitia kioo kuwa alikuwa anamfata, naye akatulia tu hapo hapo, huku akianza kuingiwa na hali fulani ya woga wenye kusisimua. Hakujua mpwa wake alifikiria nini, hivyo akataka aone alikuwa anataka kuchukua hatua gani.

Dylan alipofika karibu kabisa nyuma ya Camila, alipendezwa na nywele zake nyeusi, laini, na ndefu, zilizokuwa zimelala kutokana na kulowana na maji. Umbo lake lililochoreka vizuri ndani ya taulo lilipendeza sana pia machoni pake. Alikuwa anafikiria kumsemesha shangazi yake, labda aombe samahani, lakini jambo hilo lote likabadilika baada ya kumsogelea karibu hivyo. 

Dylan alianza kumwangalia Camila, siyo kama mdogo wake na baba yake tena, bali kama mwanamke mwenye kuvutia sana! Hisia hii mpya kumwelekea Camila ilimfanya ajihisi kama mtenda dhambi mkubwa sana, lakini moyo wake ulitaka kuitalii hisia hiyo; haijalishi matokeo yangekuwa vipi. Camila alihisi waziwazi kabisa kwamba Dylan alikuwa nyuma yake, karibu sana, lakini hakumzuia, ball akaendelea kutulia akisikilizia ni kitu gani ambacho mpwa wake huyu angefanya, huku mapigo ya moyo wake yakikimbia kwa kasi.

Kisha Dylan akakigusa kiganja cha Camila kwa vidole vyake taratibu, na hii ikafanya Camila asisimke mpaka mishipa ya shingoni kuikaza. Angeweza kukisia kwa usahihi sasa kwamba Dylan hakutaka kumsemesha, bali kumtendesha! Ni kama Dylan alikuwa amepumbazika, yeye mwenyewe hakuelewa kwa nini alifikia hatua hii ya kumwonyesha shangazi yake upendezi wa kimahaba kumwelekea. Lakini bado alitaka kuendelea.

Akaanza kupandisha vidole vyake ta-ra-ti-bu kuelekea juu ya mkono wa Camila, kama vile anauchorea njia, na hii ikamsisimua hata zaidi shangazi yake, ambaye alikuwa akipumua kwa kasi kiasi huku uso wake ukionyesha hofu. Vidole vya Dylan vikaendelea kupanda mpaka begani kwa Camila, kisha akavitembeza kufikia kwenye shingo yake. Akaisugua-sugua kwa ulaini sana na kuvipandisha mpaka kwenye shavu. Camila akafumba macho, huku pumzi zake za hofu zikigeuka na kuwa mihemo ya mbali ya kimahaba. Dylan alikuwa amempandishia hisia zake za mahaba, na alikuwa amesisimka kupita kawaida. 

Kijana akashusha tena kiganja chake hicho cha kushoto mpaka begani kwa Camila, huku na yeye pia akiwa amesisimka sana na kufanya mashine yake ivimbe ndani ya kaptura nyepesi aliyokuwa amevaa. Akasogeza uso wake karibu zaidi na kichwa cha Camila, kisha akaiweka midomo yake kwenye sikio lake na kulibusu kama analinyonya kwa wororo sana. Camila alifumba macho tena, akiwa haamini kabisa kwamba mpwa wake angeweza kufanya hivyo.

"Dylan... what... what are you..." Camila akauliza kwa kunong'oneza.

"I don't know.... I don't ... I don't know..." Dylan akajibu kwa kunong'oneza pia.

Alianza kusugua uso wake nyuma ya kichwa cha Camila, kimahaba sana, naye Camila alitokwa na fikira zote za kutaka kumzuia, kwa kuwa aliishiwa nguvu kutokana na uzito wa hisia za mahaba zilizomvaa hapa. Kama ndiyo ilikuwa njia ya kumwomba samahani, basi Dylan aliipeleka samahani hiyo mbali mno. Akakishusha kiganja chake mpaka kwenye ubavu wa Camila, kisha akakipandisha taratibu kufikia sehemu ya taulo iliyoibana kwenye mwili wa Camila.

"Dylan..." Camila akaita huku anatazama mbele kwa wasiwasi.

Dylan akaivuta sehemu hiyo, nayo ikaachia huku bado akiwa ameendelea kuishikilia.

"Oh my God!" 

Camila akanong'oneza kwa hofu huku amefumba macho baada ya Dylan kufanya hivyo.


UNAFIKIRI NI NINI KILIFUATA BAADA YA HAPO?


★★★★★★★★★

 ITAENDELEA

★★★★★★★★★

Previoua Next