DYLAN
Story by Elton Tonny
Familia, Kazi, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Tamaa, Hila, Unyanyasaji, Usaliti, Visasi, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
(R-rated 18+)
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KUMI NA SITA
★★★★★★★★★★★★★★★
"Steven, Emmy, em' nendeni mkalale, kesho shule," Shani akawaamrisha wanaye wakiwa bado sebuleni hapo.
"Aah lakini mama story zimenoga," akasema Steven.
"Em' nyanyuka huko. Unataka kuanza kusumbua asubuhi-asubuhi wakati unajua palivyo mbali," Leila akamwambia mdogo wake.
…Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments