Mziwanda alipofika nyumbani kwa rafikiye alishangaku karibishwa na Rehema kitu ambacho hakikuwa kawaida kupatikana pale masaa hayo.
"Karibu ndani," Rehema alimkaribisha mwenzake japo si kwa furaha.
"Asante," Mziwanda aliitikia kukaribishwa kwa sauti isiyo imara, "kwa nini haupo kazini?!"
"Aah! Hujapata taarifa kwamba niliachishwa kazi!"
"Kisa na maana!"
"Mie mwenzako sijui."
"Lakini nimemkuta...nina hamu ya kumuona mke wangu."
"Ndiyo amelekea mtaani kupatana na dereva wa lori la …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments