SEHEMU YA SITA
SONGA NAYO................
"Wewe ni nani hasa mpaka mimi nianze kukupa habari ambazo binafsi hazikuhusu?"
"Ukiona mpaka nipo hapa basi ujue zinanihusu, majigambo yako yanaweza kuhatarisha usalama wa taifa zima. Nimepigiwa simu leo na mkurugenzi wa usalaam wa taifa wa Kenya ndiyo maana unaniona kwako muda huu vinginevyo mimi na wewe tusingeonana"
"Ilikuwa ni oparesheni ya kijeshi hivyo hakuna lingine la ziada …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments