SEHEMU YA SABA
SONGA NAYO................
Ni miaka miwili ilikuwa imepita tangu tukio hilo litokee na wakati huo ndio kwa mara ya kwanza alionekana tena ikiwa ni maiti. Jambo hilo lilizua utata na maswali mengi juu ya safari ya mwanamke huyo na familia yake mpaka kufikia hatima ya kupokelewa na mchanga kwenye futi sita. Rama Rajabu ambaye alikuwa afisa wa polisi na msimamizi wa kesi hiyo baada …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next