MIMI NA MIMI 4
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA
★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Niliachwa nimechanganywa kidogo. Kumwona Batundui akiwa amepigwa hadi kuvujishwa damu, na sasa watu hawa wakamleta Elisiana pia ambaye sikuwa na ujuzi wowote kwamba alihusishwa kwenye jambo hili. Wanaume hao wakatusogelea mimi na Batundui, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments