Reader Settings

“Haha… Regina, usiwe na wasiwasi. Hajaenda kufanya jambo la hatari. Fionna anaelekea nyumbani kwa Mzee,” aliongea Mzee Mbale.

“Nyumbani kwa familia ya Mzee? Kwanini?” aliuliza Hamza.

“Kwanini unauliza kwanini? Kama umekubali uchumba hadharani basi moja kwa moja amekuwa sehemu ya familia,” aliongea Musiba kibabe.

“Ndio, nilikubali. Vipi, hujaridhika?”

“Haijalishi. Kama umekubali, unapaswa kumzingatia. Hupaswi kuendelea kuwa ndumila kuwili,” Musiba alipandisha sauti.

“Ni kheri mimi nawajibika …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next