SEHEMU YA NANE
SONGA NAYO................
"Kawasalimie kuzimu mpuuzi mkubwa wewe" alipofumbua macho alichomoka pale kwa mbio kali kumuwahi mtu yule kabla hajaingia kwenye yale maduka ya jumla, ilikuwa ni ghafla na ni wakati ambao walinzi walishtuka kwamba kuna mtu anakuja ule upande wao ila kwa bahati mbaya wakati wanashtukia hilo wawili walikuwa wamepigwa risasi na yule kijana tayari hali ambayo iliwafanya wananchi wengine …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments