Mzee Abasi Mhinde, aliyekuwa akiongea na Bi Penieli Mhinde, aliishia kugeuka akimwangalia Regina kwa mwonekano wa kukakamaa kidogo.
“Regina, mjukuu wangu, babu yako mimi ni mzima. Ndio maana sikuona haja ya kukuambia.”
“Babu, unadanganya. Nishasikia ulichokuwa ukiongea. Niambie shida yako ni nini. Bibi Penny kasema ulidondoka chini kwa kukosa pumzi.”
“Nilikuwa nimechoka tu, mjukuu wangu. Huyu bibi yako kaamua kuyakuza na kufanya tatizo liwe kubwa. …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments