Mara baada ya Hamza kurudi wodini kwa muda kidogo, upande wa Profesa Elisa Mhinde alitoka nje ya hospitali hiyo akiwa na sura iliyoendelea kuwa nyeusi.
Aliingia kwenye gari lake aina ya Audi Q8, kisha akatoa simu yake na kupiga.
“Bro, nimekwisha kuongea hili suala na Hamza, lakini ameshindwa kuelewa kabisa,” aliongea Elisa.
Muda huo, sauti ya chini iliweza kusikika upande wa pili.
“Kwani amesemaje?”
“Kasema …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments