Helena alionekana kushindwa kumalizia kuongea na pale pale akaishia tu kuonyesha ishara.
"Unaonaje ukiingia ofisini ukijionea mwenyewe?"
Mara baada ya watatu hao kuingia ofisini, hawakuona tatizo lolote mara moja. Hata hivyo, mara baada ya kuongeza umakini wao, waliweza kumuona kasa mkubwa ndani ya ofisi hiyo, ambaye macho yake yalikuwa kama vile yanatoa rangi ya bluu akiwa amejibanza kwenye kona.
Mara baada tu ya Regina kuingia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments