Profesa Haule na Elisa walijikuta wakiangaliana kwa mshangao huku Regina macho yake yakichanua kwa tumaini.
“Hubby, kuna njia ya kufanikisha?”
“Si nilikuambia jana usiku, kuna mbinu nimeipata?”
“Haiwezekani,” aliongea Profesa Haule. “Kwa uvimbe mkubwa kama huu hauwezi kuondoka kwa namna yoyote ile.”
“Hamza, hebu acha kufanya utani na uhai wa mgonjwa. Hakuna haja ya kumuweka rehani bila faida yoyote,” aliongea Elisa.
“Nishafikiria mbinu zote za …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments