Hamza, mwonekano wake ulibadilika kidogo mara baada ya kusikia akiitwa Mr na Belda.
“Unaweza kuniita tu Hamza au Kaka. Haina haja ya kuniita Mister. Nilikuwa na deni la fadhila kwako, hivyo nilichofanya ni kwa ajili ya kukusaidia. Sikuwa na nia nyingine, na hupaswi kunichukulia kama mtu niliyekupa msaada, unaelewa?”
Mara baada ya kusikia hivyo, Belda alijikuta akionyesha hali ya mshangao huku akimwangalia Hamza.
“Basi vipi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments