Reader Settings

Mara baada ya kumuona mwanamke huyo akiondoka, Hamza alishindwa kukubali. Alijua kama asingemfuata Dina muda huo, basi mwanamke huyo angezidi kuwa na hasira.

Hamza haraka haraka alitoa hela kwenye mfuko wake na kisha kumpatia Belda.
“Belda, nadhani unakumbuka namna ya kufika nyumbani. Chukua taksi pale, utapelekwa moja kwa moja,” aliongea Hamza.

Belda, aliyekuwa katika hali ya woga, aliishia kukubali.
“Bro, unaweza kwenda. Usiwe na wasiwasi, mimi naweza …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next