MIMI NA MIMI 3
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA ISHIRINI NA TATU
★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Fodiah aliendelea kuukaza mkono wangu, na akinitazama kama kuonyesha msisitizo, nami nikamwambia, "Haina shida Fodiah, tunaweza kuongea."
Nilimwambia hivyo huku nikiushika mkono wake, naye akaniachia kwa kujishtukia kwamba alinikaza sana.
"Sorry..." akasema hivyo.
…Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments