Dina, mara baada ya kusikia neno watu maalumu, aliishia kukunja sura na kisha akauliza:
“Ni watu gani hao maalumu, wafalme au wanamfalme?”
Meneja yule aliishia kuongea kwa tabasamu, kana kwamba anajitetea.
“Sio hivyo… ni watu ambao wanahitaji zaidi chumba cha private, na kwa sababu nyie ni wawili, tumeona sio mbaya kama tutawaweka meza ya nje...”
“Kwahiyo unamaanisha unataka kutuondoa hapa kwa sababu tupo wachache? Si tumelipia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments