Watu waliokuwa mezani wote walijikuta wakimwangalia Regina kwa mshangao , ni Hamza pekee ambae alikuwa amesikia.
Mtu upande wa pili alikuwa akimwelezea Regina kwamba nyumba yao Msasani inaungua na moto.
“Madam tayari tushawasiliana na watu wa zima moto kuja , lakini itakuwa ngumu kufika ndani ya muda , tushaanza kuchukua hatua za mwanzo kuuzima”
Regina palepale alikata simu na mara moja alimwangalia Hamza …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments