Reader Settings

SEHEMU YA KUMI

SONGA NAYO................

MAKONGO JUU

Saa saba na dakika thelathini na tano majira ya usiku wa manane kwenye jengo la ghorfa tatu kulikuwa na utulivu huku nje wakiwa wanapishana walinzi kadhaa ambao walikuwa makini kuhakikisha eneo hilo linakuwa salama. Walinzi walikuwa wanazunguka zunguka karibia kila kona ya jengo hilo wakiwa kwenye mavazi ya kiaskari bila shaka aliyekuwa analindwa alikuwa ni mtu mkubwa kwenye …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next